Breaking News
recent

PICHA: NI HATAREEEE P SQUARE WAONESHA PICHA ZA MAGARI YAO MAPYA...


Amepost katika Instagram picha kadhaa zinazoonesha magari hayo na kuandika maelezo yanayoonesha ni magari yaliyoingia katika jumba la Square Ville hivi karibuni na sio magari yote wanayomili.
“Crazy Squareville…New Arrivals…Don’t worry God will do same for u… #hardwork”
Magari mapya aliyoonesha ni pamoja na Wrangler Jeep ya mwaka 2014 ambayo kwa sasa inauzwa zaidi ya $22,395 na Bentley ya mwaka 2014 ambayo inauzwa kuanzia $177,500.
 
 

Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.