Shabaha ya klabu ya Manchester United kumtia mikononi kiungo matata
wa klabu ya Beyern Munich, Thomas Muller, umeingia dosali baada ya
mchezaji huyo kusaini mkataba wa kuendelea kuitumikia timu yake hadi
mwaka 2019.
Mkataba huo wa Muller umetibua kabisa mpango na uchu wa kocha wa Man U, Van Gaal wa kumnasa kiungo huyo.
No comments:
Post a Comment