Breaking News
recent

HICHI NDICHO MSANII DULLY SYKES ALICHOKITANGAZA LEO KWA MASHABIKI WAKE...

Prince Dully Sykes ni msanii ambaye siku zote anapewa heshima ya kukaa kwenye game kwa muda mrefu bila kuchuja akiwa na hits kibao.

Mwimbaji huyo ameomba msaada wako wewe shabiki wake kwa kumsaidia kupata model wa kike au wa kiume, au kama wewe unaweza kuwa na

sifa hizo msaada ambao unaweza kugeuka kuwa deal kwa upande wako.
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.