Huu mwaka 2014 umekuwa mwaka wa maajabu, watu wamekaa na kuumiza vichwa vyao, wakatengeneza movie nzuri na kali zinazoleta mapinduzi duniani kote...
Hii ni listi ya Movie zinazofanya poa, duniani kote...
1. Think Like a Man Too
Ukiiangalia hii movie utatamani kuirudia kila saa kwa sababu ni komedi tosha, humu wamecheza watu maarufu kama wakina Adam brody, Michael ealy, Jerry Ferrara na wengine kibao. Mpaka sasa imefikisha kiwango cha hela hii $30.0M.
2. 22 Jump Street
Humu utawakuta Jonah Hill , Channing Tatum, ina action kidogo, comedy ya kutosha na Adventure kwakweli usiache kuitafuta. Hii imefikisha dola $29.0M.
3. How to Train Your Dragon 2
Sasa hii ni animation ambayo haichoshi kuangalia humo pia kuna action, adventure na Fantasy hii ni dola $25.3M
4. Jersey Boys
Hii imefikia kiwango cha dola $13.5M
5. Maleficent
Humu tunamkuta Mwanadada hatari sana kwenye movie za action, Angelina Jolie, kama kawaida yake huwa haaribu, humu kawashirikisha watu wengine kama Sharlto Copley, Elle Fanning, Sam Riley, na Imelda Staunton
Hii sasa imefikisha dola $13.0M
Unknown
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment