JINSI YA KUONDOA ADMINISTRATOR PASSWORD BILA YA KU2MIA SOFTWARE YOYOTE/KUCHANGE WINDOW KWENYE PC YKO IWAPO UTAKUA UMEISAHAU NA UKASHINDWA KU LOG IN!
>>>>Kuna method mbili za kufanya hii kitu!
1st Method inahucka km partition iliyobeba window ni FAT type.
2nd Method inahucka kwa partition iliyobeba window ambayo c FAT type (may b NTFS)
1st METHOD (FAT PARTITION)
1.....Washa pc yko,then wkt inawaka press F8,hpo system italeta option mbalimbali,chagua option inayokutaka u-start up in DOS mode(DISK OPERATING SYSTEM MODE).
2......Ukisha boot up in DOS delete hzi file mbili "sam.Exe" na "sam.Log" from "Windows\system32\config"
3......Cancel DOS mode na ulog in normal mode(NT mode),hapo computer yako haita prompt uingize Password.
2nd METHOD (PARTITION ISIYO FAT)
1.....Itoe hdd yko na ukaiweke kwny cmptr nyingne as a secondary disc
2......Iwashe hyo pc na uende kwny drive ambayo ndiyo hdd yko,then navigate to the "windows>system32>config" na u-delete "sam.Exe" na "sam.Log".
3......Itoe hyo hdd na uirudishe kwny machine yako.
4......Washa machine yko in normal mode na hutaona system ikipromt uingize password.
EXTRA NOTES
Kwa wale wacojua kudelete zile file in DOS MODE,unafanya hvi baada ya system kuwaka in DOS MODE
1...Unatype " del/f C:\Windows\system32\config\sam.Exe " then unapress enter,hapo sam.Exe atakua ameshasepa.Na kwa sam.Log ni hvi....
2......Unatype " del/f C:\Windows\system32\config\sam.Log " then unapress enter,file lnkua lishasepa.
Pia ktk method 2(non FAT partition).Nlishawah ku-delete kwa ku2mia method 1(yan bila kuhamisha hdd) na ikakubali,xo u may 1st try this b4 hujashift hdd yko!
NB: "C"nlyoandka hpo ktk command ni location ya my window contained partition,xo km ya kwako ni "D" utaandika D,km ni F utaandika F.
YOU ARE DONE!
No comments:
Post a Comment