Breaking News
recent

NGUO ALIYOIVAA RIHHANA, DAHH????? AIBU TUPU, WATOTO TULALE HAYA MAMBO TUWAACHIE BABA NA MAMA




Rihanna amewahi kuacha gumzo mara nyingi kutokana na picha zake zinazosambaa mtandaoni. Mara nyingine tena picha za Rihanna ndio zinakuwa picha zinazoangaliwa sana hivi sasa kwenye mtandao.
Picha hizi amepiga akiwa kwenye red carpet ya CFDA Fashion Awards huko New York.
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.