1.Huyu ndio mtoto maarufu sana hapa bongo, ndiye Qayllah, mtoto wa sheta, inasemekana ana followers wengi instagram(2,047
followers), idadi yake hii ya
followers huko instagrm, inakadiriwa kuwa
hata asilimia hamsini ya watumiaji wa mtandao huo wa kijamii hapa bongo
hawajafikia namba hiyo .2.Tetesi zilizopo mjini ni kwamba, hivi kribuni wakati wowote kiba anatarajia kudondosha video yake, hii ni kutokana na picha aliyopost kwenye mtando wa instagram akitoka kupiga mazoezi ya video yake ijayo.
3.Huu ndio mwonekani wa Linah Sanga enzi za mwalimu na jinsi alivyo sasa.
4.Ukimuacha Vanessa Mdee, huyu ndio msanii mwingine wa Bongo mwenye umbo zuri zaidi la kuvaa vazi la ufukweni, maarufu kma bikini, Si mwingine bli ni Shaa, malkia wa kusugu gaga, noma sana.
5.Swag za kuvaa soksi zamchosha Diamond Platnumz, kupiti account yake ya instgram alifunguka na kushangaa hizi style za huko kwa obama za uvaaji wa soksi ndefu kama za wachezaji wa mpira.
No comments:
Post a Comment