Kijana mmoja aitwaye Ridhiwani, mkazi wa PPF Njiro(Umri wake haujatajwa, lakini anaonesha kuwa na umri wa zaidi ya miaka 16) anaswa akimlawiti mtoto mwenye umri wa miaka 12 katika maeneo ya PPF Njiro.
Kitendo hicho kiliwapandisha hasira wafakazi wa eneo hilo hadi kufikia hatua ya kutaka kumuua kabisa
Hili
tukio limetokea tarehe ya leo hasubuhi na mapema, na kijana huyo
ameshatiwa nguvuni na vyombo vya dola hili sheria kushika mkondo wake.
Tazama picha zinazoelezea mkasa wote hapa chini
Ridhiwani akiwa ashapigwa pingu kwa ajili ya kufikishwa kwenye vyombo vya kisheria na hivyo sheria kushika mkondo wake.
Huyu ndiye mtoto ambaye amelawitiwa na Ridhiwani
Mashuhuda wakiwa wanamshangaa kijana huyo aliyebaka!
Ni lazima tujiulize maswali kadhaa juu ya vitendo hivi vya kikatili vinavyofanywa na watu wa rika zote:
Je, ni nani anayetakiwa kuaminikaa katika jamii yetu kwa sasa?
Je, watanzania tunakwenda wapi jamani?
Je, jamii yetu inatakiwa kuanza kuwalinda wasichana na wavulana WASIBAKWE?
Je, kama haya tunayapata mpaka kwenye vyombo vya habari, vipi kuhusu hayo ambayo hatuyaoni?
No comments:
Post a Comment