Kama wewe ni mpenzi wa movie, Trailer la kwanza la movie ya The
Expendables 3 tayari limetoka na kuwekwa mitandaoni kuashiria ujio rasmi
wa movie hiyo.
Ndani yake muigizaji mkongwe Harrison Ford ameongezwa akiwa na
waigizaji wengine wakali kama Antonio Banderas, Mel Gibson, Kelsey
Grammer, Kellan Lutz, Victor Ortiz, na Ronda Rousey.
Ford anachukua nafasi ya Bruce Willis, ambaye ameripotiwa kutaka
kiasi cha dola milioni 4 kwa ajili ya kucheza vipande vyake ambapo
Sylvester Stallone hakufurahishwa na kitendo hicho.
No comments:
Post a Comment