Breaking News
recent

PICHA 4 ZA NYUMBA YA LADY JAY DEE....


lady jay dee ni msanii mkongwe sana na mwenye maendeleo makubwa pia ameweza kulinda heshima yake tangu kipindi anaanza mpaka hii leo , mziki umeweza kumpatia mafanikio makubwa ikiwemo kupata tuzo kibao kimataifa na kimataifa, mbali na hilo pia jay dee anamiliki band inayoitwa machozi bendi, naa pia mgahawa wa kisasaunaoitwa nyumbani lounge , hii leo tunkuletea exclusive picha ya nyumba ya kifahari anakokaa mwanadada huyo , picha zote ziko hapa shuka nazo




Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.