Nicki Minaj ameonesha upendo wake kwa member mwenzake wa
YMCMB, Drake wakati anafanya mahojiano na Kojo na Jade wa kituo cha
Capital Xtra, Jana.
Mwimbaji huyo ameeleza kuwa yeye ni shabiki mkubwa wa Drake anaependa
kwa dhati kazi zake na kwamba amepanga kuingia nae studio hivi karibuni
kurekodi wimbo utakaokuwa kwenye albam yake ya The Pink Print.
“I’m a massive fan of Drake, that’s my baby. And I hope and pray
we’ll have a collaboration on there. I think that we’ll definitely have
one on there.” Alisema Nick Minaj.
Nicki Minaj na Drake wamewahi kufanya kazi pamoja mara kadhaa na
wameshirikiana kwenye nyimbo kama Moment 4 Life, Make Me Proud na Up All
Night.
No comments:
Post a Comment