Imebainika kuwa mwanadada Agness Masogange ameihama nchi na kwenda kuishi South Africa kutokana na skendo zinazomkabili kubwa ikiwemo ile ya madawa ya kulevya ambayo alikamatwa South Africa lakini alishinda kesi na kuachiwa.
Rafiki yake wa karibu aitwaje Jeniffer alihabarisha mtandao huu na kusema Masogange ameenda huko ili kutulia kwa sababu Bongo kila mahali alikuwa ananyooshewa vidole kitu ambacho alikuwa hakipendi kabisa.
'Si kweli amepata Maisha mazuri kama alivyosema' chanzo kilidadisi.
Unknown
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment