Zitto kabwe akiwa na Profesa Ibrahimu Lipumba pamoja na watu wengine wakati wa kuuaga mwili wa mama Zitto aliyefariki June 1 2014.
MWILI WA MAREHEMU MAMA ZITTO KABWE UKISAFIRISHWA KWENDA KIGOMA
Bi Shida ambae ni mama mzazi wa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe alifariki dunia hospitali Dar es salaam June 1 2014 alikokua amelazwa katika chumba cha uangalizi maalum (ICU)
No comments:
Post a Comment