Breaking News
recent

LUIS SUAREZ AFUNGIWA KUCHEZEA MECHI 9 ZA KIMATAIFA..

b0b3bf49cbe910010bc5fa3abd7be78b

Shirikisho la soka duniani, FIFA, limempiga marufuku mshambuliaji wa Uruguay, Luis Suarez kucheza mechi 9 za kimataifa na miezi minne ya kutojihusisha na shughuli yoyote ya soka.

Mshambuliaji huyo wa Liverpool ambaye ameshawauma kwa meno wachezaji watatu katika career yake,atakosa pia mechi nyingi za ligi kuu ya England. Adhabu hiyo ni kubwa zaidi kuwahi kutolewa na FIFA lakini mshambualiji huyo ana haki ya kukata rufaa na anaruhusiwa kuhama vilabu ndani ya miezi hiyo minne.
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.