Iko hivi:
1.....Uwe na opera min browser au hta UC web browser katka cmu yko,
2.....Ingia katika mtandao wa youtube kupitia opera min yko, yan {www.Youtube.Com}
3....Ktk youtube search bar,search video yyte uitakayo then select video unayotaka kwa ku-iclick ila usibonyeze kwny watch,
4....Baada ya hapo nenda ktk address bar (ambapo huwa unaingiza website
address zako),kisha bonyeza hapo km vile unataka kuingiza url,
5.....Hapo itaonekana address km hii hv "m.youtube.com/watch?gl=US &hl=en-GB&client=mv- google&v=yPD346Zh6jo"
6.,,.Sasa hapo futa (m.) na ureplace na hii(ss),sasa hpo itaonekana km hvi "ssyoutube.com/watch?gl=US &hl=en-GB&client=mv- google&v=yPD346Zh6jo"
7....Piga ok,hpo new page itatokea..Yan download page ikiwa na format
mbalimbali mf: mp4,3gp,flv.Chagua format clck ok then chagua destination
folder.
YOU AR DONE
Pia trick hii unaweza ukajarbu
ktk browser nyngne yyte unayo2mia ktk cmu yko!,pia nshajaribu kwny pc kw
ku2mia SAFARI WEB BROWSER IKAKUBARI.
kw maswali binafsi add me ON Facebook, Instagram, Twitter, LinkedIn, Waplog, Wapchat, Google plus AS
BONIFACE MJAILA.
Uncategories
DÖWNLOAD VIDEO YOYOTE KUTOKA YOUTUBE KATIKA CMU YKO BILA KU2MIA YOUTUBE DOWNLOADER YÖYOTE!
Unknown
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment