The Super Admin Computer Lab
Ni kituo kinachotoa mafunzo mbalimbali
ya Computer ambacho kilichojikita zaidi kwenye vitendo, kituo kilianzishwa
rasmi mnamo 01/03/2017, kituo kinapatikana Buguruni
Malapa (Kichwele Hostel Ground Floor).
LENGO
KUU LA KITUO (TSACL)
Kuhakikisha
kila mmoja wetu katika Karne hii ya Sayansi
na Teknolojia anafaidika na anakuwa na uwezo binafsi wa kukabiliana na
changamoto mbalimbali zitokanazo na Utandawazi
katika na nafasi aliyonayo.
MATARAJIO YA KITUO
Kituo kina matarajio ya kutoa Mafunzo kwa
Ufanisi wa hali ya juu na kwa Gharama nafuu mno ili kulifikia lengo lake kuu (Fursa ni ya kila Mmoja).
KOZI ZITOLEWAZO
COMPUTER APPLICATIONS:
MS
Word.
MS
Excel.
MS
Power Point.
MS
Access.
GRAPHICS DESIGNING:
MS
Publisher.
Adobe
Photoshop.
Adobe
In Design.
Adobe
Illustrator.
Adobe
Premiere.
Adobe
Acrobat.
E-MAIL AND INTERNET:
TECHNICAL COURSES:
NETWORKING.
PROGRAMMING.
DATABASE.
COMPUTER SYSTEM.
RATIBA
YETU
Kituo
kipo wazi siku zote za wiki Jumatatu - Jumapili, kuanzia saa mbili kamili asubuhi mpaka saa mbili kamili usiku.
JINSI
YA KUJIUNGA NA KITUO (TSACL)
Fomu za kujiunga na Kituo zinapatikana
kituoni (Buguruni Malapa) kwa gharama ya Shilingi 5,000/= tu.
MAELEZO ZAIDI
Ili kupata maelezo zaidi unakaribishwa
kituoni kwetu Buguruni Malapa.
(Kichwele Hostel Ground Floor).
Au
Wasiliana nasi Kwa:
THE
SUPER ADMIN COMPUTER LAB (TSACL)
Head
office, Buguruni Malapa Area,
P.O
BOX 515, Dar-es-salaam, TANZANIA.
Phone:
+255 718 475 017/0719 377 179
WE PROVE THEORY BY PRACTICE
No comments:
Post a Comment