1) Ingia katika ukurasa wako wa facebook katika computer
2) Ukiwa HOME au upande wa News feed, tazama kushoto mwa ukurasa wako utafute groups.
3) Ndani ya groups tafuta neno Manage your groups kisha click hapo (tazama picha namba 1)
4) Kisha utaona orodha ya ma group uliyojiunga, hapo "click" mwisho kulia mwa group usilolitaka kwenye alama ya setting (tazama picha namba 2)
5) Katika dropdown menyu, yenye maneno mawili itakayofunguka baada ya ku click alama hiyo, "click" LEAVE GROUP (tazama picha namba 3)
6) Hapo itafunguka box ya mwisho yenye maelezo itakayokuwa na maneno kadhaa chini kabisa. katika maneno hayo click LEAVE GROUP hapo utakuwa umekamilisha kujitoa kwako katika group hilo. (tazama picha namba 4)
Unknown
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment