KWA WALE WAPENZI WA RIHANNA HII ITAKUWA INAWAHUSU.... Unknown 5:10 AM Unknown Huyu dada bana yaani haishiwi vituko kila kukicha, hivi nikimfananisha na msanii Lulu nitakuwa nakosea? Naona kama wanaendana swaga hivi kwani naye haishiwi vituko kila kukicha.Eti huu ndo mtoko wake wa club, hebu ngalia picha zake zaidi hapa chini. Wacha wee....hebu mwone huyu mtoto. Ayaaaa.... laana kabisa. Ni shida eti...looh! Twitter Facebook Google Tumblr Pinterest
No comments:
Post a Comment