Baada ya BET tunarejea tena nyumbani Afrika,Diamond Plutnumz Yuko nominated kwenye Tuzo za #Afrimma( AFRICAN MUSIC MAGAZINE AWARDS) awards,zitakazofanyika jijini Texas,tarehe 26 july.Yupo Nominated kwenye category 5.
Best male east afrikaSong of the year(number1).Video of the year (number 1)Best collabo (nymber1 rmx)ft davidoAnd Best afrikan artist of the year.kuvote fuata link hii BOFYA HAPAKisha vote kwenye kila category Aliyopo.
No comments:
Post a Comment