Mwanamuziki Iyanya toka Nigeria ameweka picha za tour inayofanyika huko
nchini Mrekani katika ukurasa wake wa Instagram. Iyanya anaongoza kua ni
mwanaume mwenye mvuto barani Afrika, ni mwanamziki mwenye misuli baada
ya kuvua shati lake wanawake walianza kupagawa na mwili wake jinsi
ulivyokua.
Alifanya wanaweki wengi kumuomba arudie kuzicheza upya nimbo kama
Kukere, Your Waist, na
Head Swell.
Wanawake wengine walivamia jukwaa na kwenda kumshika mikono, mabega,
lips huku ikitafusiriwa kuwa anavitu vizuri ambavyo wanaume wa wanawake
hao hawana.
TAZAMA HAPA
No comments:
Post a Comment