WACHEZAJI WA MPIRA WA MIGUU WANAOMILIKI MAGARI YA KIFAHARI....CHEKI PICHA
Mshambuliaji wa Real Madrid Christian Ronaldo anamiliki gari aina ya BMW M6/ Lamborghin Aventador, Ronaldo ana aminika kuwa mpenzi sana wa magari ya bei ghari na ana rundo la magari nyumbani kwake ila huwa hayaendeshi sana...
Huu ndio mpango mzima wa Super Mario Balotelli, mtoto mtukutu anamiliki kitu cha Audi R8
Messi Mchezaji wa Barselona anamiliki gari aina ya Gran Turismo MC stradare na thamani ya hili gari ni dola za kimarekani $143,000
Fernando Torres yupo na gari lililoimbwa na RICK ROSS maarufu kama Aston Martin DB9
Davi Beckham ambaye alihamia marekani na kuishi kwa muda mrefu huko, ana miliki gari aina ya Jeep Wrangler/Porsche 911 Turbo/ Rolls- Royce ghost
Crint Dempsey A.K.A Captain America ni mchezaji kutoka marekani anayelipwa zaidi. Hii ndio gari anayomiliki aina ya Ford F - 150 Raptor. Analipwa dola milion 7.8 na anachezea club ya Seattle Sounders FC
Mchezaji wa Manchester United Wayne Rooney anamiliki gari aina ya Overfinch Range Rover
No comments:
Post a Comment