Mkanda wa Wwe World Heavyweight
Championship kugombaniwa kwa na miamba minne katika pambano la BATTLEGROUND
siku ya tarehe 20 mwezi wa saba mwaka huu 2014 huko marekani. Pambano hilo ambalo
litakutanisha mwamba kama Kane{The red monster},Roman Reigns{The upcoming
superstar},Randy Orton{The viper} pamoja na bingwa wa WWE John Cena,limeanza
kuteka hisia za mashabiki wa mchezo wa mieleka kote duniani kwani unaonekana ni
mchezo mgumu kuliko ule wa kwanza uliokutanisha watu nane mwezi uliopita.
John Cena anapewa
nafasi kubwa ya kubaki na mikanda yake kwani aliwashinda kwa haki wachezaji hao
wakiwa nane,lakini nafasi amepewa Randy Orton kutokana na mazoea ya mechi kama
hizo na pia hutumia akili nyingi kuliko nguvu zaidi.
Cena aliyechukua mkanda
huo mwezi uliopita katika pambano la MONEY IN THE BANK na kuwashinda wapiganaji
wengine kama Randy Orton,Kane,Roman Reigns,Antonio Cessaro,Sheamus,
Alberto Del
Rio pamoja na Bray Wyatt.Lets wait and see who
will be the winner at BATTLEGROUND on 20
july 2014,Itakuwa Kane,Randy Orton,Roman Reigns ama John Cena atarudi na
mikanda yake?
No comments:
Post a Comment