Breaking News
recent

HII NDIYO AHADI ANAYODAIWA ROMA NA MASHABIKI WA GERMANY.............

romaaaaMechi kati ya Brazil na Germany ilibeba hisia za watu wengi sana na wengi wao walijaribu kuweka ahadi ambazo inawezekana ngumu kuwezekana,mmoja wapo ni msanii Roma Mkatoliki ambaye yeye alisema endapo Germany ingeshinda basi angehama kutoka Tongwe Records kwenda Sharobaro kwa Bob Junior.
romaa
Baada ya Germany kushinda ile ahadi yake inabidi aitimize ahadi yake aliyoiweka....
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.