JINSI YA KUANGALIA KAMA FLASH YAKO NI ORIGINAL AU FEKI..
H2Testw Ni software ambayo unaweza kucheki flash au memory card yako kama ni original au feki.
Empty the files( usiweke kitu kwenye flash au memory card kabla hujaicheki).
Bonyeza kwenye neno lililoandikwa Target Device halafu chagua Removable device yako.
Halafu bonyeza kitufe Write+Verify
KAMA FLASH NI ORIGINAL KUNA MESSAGE ITAKUJA ("Test finished without errors")
No comments:
Post a Comment