Huu mwaka umekuwa wa mafanikio kwa Diamond Platnumz tangu aamue kutulia kutokana na kufanya mambo mengi yasiokuwa na faida.
Sahizi jina la Diamond Platnumz ninaendelea kujulikana ulimwengu mzima kwa nyimbo zake za AfroPop.
Huu mwaka kuonyesha kuwa ametambulika, Diamond ameweza kushinda tuzo kadhaa nyumbani na pia ameshirikishwa na MTV MAMA na BET Awards.
Sahizi akaunti yake ya Twitter imekuwa verified masiku kadhaa yaliyopita na sahizi Facebook yake imekuwa verified.
Cheki akaunti yake ya Facebook
Hii inaashiria kuwa nyota ya Diamond inazidi kuendelea kufikia kileleni
Unknown
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment