Walianza kuchukua headlines za kolabo za kimataifa baada ya kushirikiana na Akon pamoja na Rick Ross ila time hii anaefata ni trouble man T.I wa Marekani.
Wakiwa wanaifanyia kazi album yao ya sita, P Square kutoka Nigeria hawajazungumza maneno ya ziada baada ya kuthibitisha kwamba wamemshirikisha rapper T.I kwenye moja ya nyimbo za hiyo album.
No comments:
Post a Comment