UJERUMANI imetoa kipigo cha bao 4-0 kwa
Ureno katika mechi ya kundi G ya Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil.
Mabao ya Ujerumani yamewekwa kimiani na Thomas Muller aliyefunga
hat-trick na la nne likifungwa na Mats Hummels. Katika mechi hiyo, Pepe
wa Ureno alizawadiwa kadi nyekundu baada ya kumpiga kichwa Muller.
Uncategories
URENO YA RONALDO YAPOKEA KIPIGO CHA MBWA MWITU, KUTOKA KWA UGERUMANI, MULLER NDO HABARI YA BRAZUKAAAAA, APIGA HAT TRICK YA KWANZA KWENYE MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA
Unknown
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment