Mitandao
ya kijamii naweza kukili kuwa ndio sababu ya kwanza ambayo inasababisha
kumomonyoka kwa maadili hasa kwa nchi za bara la afrika watu maarufu na
wasio maarufu wamekuwa wakiweka picha kwenye mitandao ya kijamii lakini
picha hizi hazina maadili
Picha
zinazoonekana hapo chini ni za mtangazaji maarufu hapa nchini kupitia
kituo cha clouds Diva akiwa amepost kupitia accaunt yake ya Instagram
sasa swali jepesi kama yeye ni kioo cha jamii jamii inajifunza nini
kutoka kwake kiukweli mastar wa bongo acheni ulimbukeni jamani usione
Rihana kafanya na wewe unataka ufanye ni aibu hata nyie mnao comment
ndio mnawapa kiburi huu ni uchafu
No comments:
Post a Comment