Breaking News
recent

HAWA NDIO MAKOCHA WA KOMBE LA DUNIA WANAOLIPWA MISHAHARA MIKUBWA....

Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza, Fabio Capello
ndiye anaongoza kwa kulipwa vizuri miongoni mwa makocha wote wa timu za taifa zinazoshiriki Kombe la Dunia mwaka huu nchini Brazil.
Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza, Roy Hodgson analipwa pauni Milioni 3.5 kwa mwaka.
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.