Breaking News
recent

JINSI YA KU2MIA MODERM YOYOTE BILA KU-UNLOCK

1...Unatakiwa uwe na moderm yyte,line yyte ya cmu iliyonzima na nokia pc suite installed on ur pc

2...Chomeka moderm yko na u-run ile installation package iliyo pa1 na moderm yko,mf:(moderm ya voda utaikuta na installation ya voda,moderm ya tigo utaikuta na istallation ya tigo)...Hii inasaidia kuingiza driver za moderm yko,ila km driver zake unazo bac haina umuhmu kuifanya.


3...Close ile software/program itayotokea after installation(yan km ni moderm ya tigo bac after isntallation itatokea program ya tigo na ni hivi hivi hta voda,zantel na airtel.


4....Open nokia pc suite


5....Ndan ya nokia pc suite fungua sehem inayokwambia"create an iternet connection",hpoitafunguka kisha itakupa ujumbe "no device connected"


6...Click ile 'sparner like icon',hapo itakua imekuonesha moderm yko!


7....Click tena ile icon ili uweze kuset ur iternet APN Km unavoset kwny cmu yko 2.


8....Malizia na CONNECT


9....Hapo itaconnect na kukuonesha ur internet speed.


HAPO WAWEZA KUTUMIA BILA MATATIZO!!

Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.