PICHA: GARI LAGONGA MLANGO WA BENK MOROGORO Unknown 10:40 PM Unknown Gari limegonga mlango wa kioo wa Benki ya CRDB, mkoani Morogoro. Taarifa zinasema kuwa dereva huyo alikuwa anataka kurudi nyuma kumbe alibonyeza sehemu ya kuendeshea ndo akaishia kuingia CRBD bila hodi. Twitter Facebook Google Tumblr Pinterest
No comments:
Post a Comment