Breaking News
recent

JENNIFER LOPEZ KUTUMBUIZA KATIKA UFUNGUZI WA KOMBE LA DUNIA....

Ufunguzi rasmi wa fainali za kombe la dunia nchini Brazil unatarajiwa kufanyika kesho Alhamisi (June 12),

Jennifer Lopez anatarajiwa kuungana na rapper Pitbull pamoja na Claudia Leitte
kutumbuiza wimbo rasmi wa kombe la dunia katika sherehe hizo.Pamoja na FIFA mapema wiki hii kutangaza kuwa Lopez asingetumbuiza katika ufunguzi huo, muwakilishi wake amethibitisha uwepo wake kwa PEOPLE, kwa mujibu wa Aceshowbiz.
“Jennifer has always wanted to participate in the World Cup opening ceremonies, we have been trying to work out scheduling and logistics. Any statements to the contrary were premature. Jennifer would not want to disappoint her fans or fans of futbol. She will be there.” Alisema muwakilishili huyo.
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.