Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya akijibu Hoja za Wabunge kabla ya Bunge
kukaa na kupiga kura kuamua Bajeti ya serikali kwa Mwaka 2014-015.
Wabunge wakimsikiliza Waziri wa fedha Mhe Saada wakati akijibu hoja za
waheshimiwa Wabunge kabla ya zoezi la kupiga kura kwa ajili ya kupitisha
Bajeti ya serikali kwa mwaka 2014-2015.
Spika wa Bunge akiendesha kikao cha Bunge la Bajeti ya Serikali kwa
Mwaka 2014-2015 akisaidiwa na Makatibu wa Bunge mbele yake wakati waziri
wa Fedha akijibu hoja za wabunge.
Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya (aliye vaa kilemba) akitoka katika
ukumdi wa Bunge akiongozana na Naibu waziri, mara baada ya Bunge
kupitisha Bajeti ya Serikali kwea mwaka 2014-2015 kwa zaidi ya kura
miambili.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment