Ni jana tu May 29 2014 Cristiano Ronaldo ametajwa
kushika namba moja kwenye list ya mastaa kumi wa soka ambao wanavutia
kibiashara na kufanya kazi na makampuni makubwa ya kibiashara duniani.
Hii post inahusu kuwasili kwa Ronaldo kwenye hoteli timu yake ya taifa
ya Portugal ilikoweka makazi ya muda kujiandaa na kombe la dunia
litakaloanza siku chache zijazo nchini Brazil.
Kulikua
na mashabiki wengi waliokua wakimsubiria wakiwemo kina mama, baba na
watoto ambao wengine walijaribu hata kumgusa, wengine kumsemesha na
wengine kumpiga picha.
No comments:
Post a Comment