Breaking News
recent

HATA MASTAA WETU WA BONGO WANAJITAHIDI KWENYE MAKE UP, CHEKI ANGELINA JOLIE ALIVYOBOLONGA...

Ilikuwa ni usiku wa jana katika  "The Normal Heart" huko New York City, Angelina Jolie aliweka pozi kwenye red carpet na  handsome partner wake Brad Pitt.


                                              
Muigizaji huyo maarufu wa marekani alishindwa kabisa kujiremba vizuri, alipoingia kwenye red carpet waandishi wa habari wakampiga picha, kutokana na mwanga mkali picha ilimuonyesha uso wake vizuri kabisa
 
Si yeye pekee Angelina Jolie anayekosea kujipamba wengine ni kama Nicole Kidman, Eva Longoria, Ashley Judd na Jon Hamm.



 

 
 
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.