Huyu ni Selena Gomez aliyekuwa mpenzi wa Justine Bieber jana (may13) alivyoshuka kwenye uwanja wa ndege LAX los angels alikuwa amevaa Rocking black skinnies and a leather jacket, wiki iliyopita Selena mwenye umri wa miaka 21 alikuwa mapumzikoni huko Dominican Republic na alikuwa akifanya shopping ya maana.
Pia selena amejifunza kupika chakula cha asili
No comments:
Post a Comment