
Mwili wa mwigizaji Rachel Haule umeagwa leo katika viwanja vya Leaders na baada ya hapo atazikwa katika makaburi ya kinondoni. Wasanii wengi, ndugu, jamaa na Marafiki wamejawa na simanzi.

Irene Uwoya azimia kwenye msiba pengine ni mshtuko kwa kumpoteza msanii mwenzao..

Hapo wakijiandaa kwenda kwenye mazishi


No comments:
Post a Comment