Breaking News
recent

FABILOUS AMEPATA AJALI AMSHUKURU SANA MUNGU KWA KILICHOTOKEA...



Fabolous ambae ni Rapper wa longtime kwenye chati za muziki duniani ambae amewahi kuja kufanya show Tanzania, amepata ajali huko Queens New York Marekani.
Baada ya ajali hiyo Fab amemshukuru Mungu kwa kumuepusha yeye dereva wake na madereva wawili wa lori kutoka salama na kusema hii ndio mara yake ya kwanza kupata ajali ya gari, imemshtua na imemuonyesha jinsi mambo yanavyoweza kubadilika haraka so ‘Live, Love, & Celebrate Life. #Blessed’ alimalizia kwa kuandika hivyo katika account yake ya instagram.
 





Screen Shot 2014-05-22 at 12.33.35 PM

Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.