Breaking News
recent

IRENE UWOYA ACHAFUA HALI YA HEWA BONGO MOVIE

Imekuwa ni desturi ya wasanii wa bongo kuonyesha maumbo yao, IRENE UWOYA ni mmoja ya wengi wanaofanya hivyo mara kwa mara.


Ina maana huwa ana kosa kitu cha kufanya mpaka anapost upumbavu halafu anasingizia hajaweka yeye, sasa nani aliyeziweka???

Eti nae IRENE UWOYA kaweka pozi bafuni...
 

Huyu ndio huyu IRENE UWOYA mwenye mtoto, huyo mtoto atajifunza nini, atakapoiona hii picha, Hebu Wasanii badilikeni haya mambo yamepitwa na wakati, kama umekosa soko usijiuze kwa namna hii, ni aibu sana halafu unajiita wewe ni kioo cha jamiii...
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.