Breaking News
recent

THE AMAIZING SPIDER MAN 2 YAKAMATA NAFASI YA 1 KWENYE BOX OFFICE






Ikiwa na mastaa Andrew Garfield, Emma stone na Jamie Foxx, filamu hiyo iliingiza dola millioni 35.5 ijumaa peke yake na kufikisha dola mil.91 siku tatu tangu itoke. Baada ya kukaa kwenye nafasi ya kwanza wiki iliyopita, filamu ya cameron Diaz na nicki minaj " The other woman" imeshuka hadi nafasi ya 2. Filamu hiyo ya komedy imeingiza hadi dola mil.4.8 siku ya ijumaa na kumaliza weekend hii ikiwa imeingiza dola mil. 15.1.

filamu zingine zilizopo kwenye tano bora ni Heaven is for Real $8.5 million, Captain America: the winter soldier $7.6 million, na Rio 2 $7.5 million.
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.