Breaking News
recent

MASTER J: SIJAELEWA DIAMOND KUPATA TUZO 7 HALAFU PRODUCER WAKE HAJAPATA KITUUU, MAN WALTER HAKUSTAHILI


Baada ya Tuzo za KTMA kumalizika kila mmoja alikuwa na mtazamo wake, wiki hii producer wa wimbo wa number 1 wa Diamond, Sheddy Clever alitoa malalamiko yake ya kukosa Tuzo ya mtayarishaji bora huku wimbo wa alioutengeneza ukimpa diamond Tuzo zaidi ya 5.
Producer mkongwe Joachim Kimaryo A.K.A Master J ametoa mtazamo wake kuhusu Tuzo za KTMA 2014 ambao unaonyesha hakuridhika na tuzo ya mtayarishaji bora wa mwaka- kizazi kipya ambaye ni man walter wa Combinega...

Haiingii hakirini Diamond kupata tuzo 7 halafu aliyetengeneza wimbo huo hajapata kitu, ni jibu ya moja ya maswali aliyokuwa nayo master J jana alipokuwa mgeni wa kikaangoni live kupitia ukurasa wa facebook wa EATV.

Shabiki mwingine akauliza pia man walter ni mkali au sio master J??
Na alijibu hivi; mkali lakini hakustahili kushinda mwaka huu..
Hayo ndiyo yalikuwa Majonzi ya Master J.
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.