Breaking News
recent

P.DIDY AKABIDHIWA TUZO YA UDAKTARI KATIKA CHUO CHA HOWARD, NA HAYA NDO MACHACHE ALIYOSEMA..

Sean "Puff Daddy" Combs amekabidhiwa tuzo ya udaktari wa heshima kutoka Chuo Kikuu cha Howard siku ya Jumamosi asubuhi (jana) wakati wa sherehe ambapo alitoa speech ya ufunguzi wa sherehe hizo.


"Aint no homecoming like a Howard homecoming" Diddy aliwaambia umati wa watu waliohudhuria. Kwa mujibu wa Billboard Diddy alihudhuria chuo hicho kwa miaka miwili, akisomea biashara kabla ya kutemana na masomo hayo mwaka 1990, na kauambia umati huo wa wahitimu wapya maisha yake yalivyochangiwa kubadilika wakati wake alipokuwa katika chuo hicho 



 "Howard University didn’t just change my life – it entered my soul, my heart, my being and my spirit," he said as he received his honorary degree in humanities. "Nobody is going to invite you to the front of the line, you got to push your way to the front of the line."

Combs alitambuliwa na chuo kikuu siku ya Jumamosi pamoja na mtangazaji wa CNN, Wolf Blitzer , Surgeon Clive CALLENDER , mpiga saxophon wa Jazz, Benny Golson na Mkurugenzi Mtendaji wa PepsiCo, Indra Nooyi .

 

"We are honored to have Mr. Combs serve as our speaker," aliskika akisema Raisi wa mpito wa chuo kikuu cha Howard

"He sat in classrooms where our students sit, walked 'The Yard,' and like many students, his entrepreneurial spirit was sparked at Howard." aliendelea kusema

Muanzilishi wa Bad Boy Records na mwekezaji amekuwa akibadilisha jina lake mara kwa mara ikiwa ni pamoja na Puffy , P. Diddy, Diddy, Puff Daddy na jina lake halisi. Alitangaza mwezi wa tatu  kwamba anarudi kutumia jina lake la mwanzo Puff Daddy, kabla ya kutoa single yake mpya , "Big homie ." 

"You could go to any hood / Bet they know me,"  baadhi ya maneno kwenye wimbo huo, naona kuanzia sasa watamtambua kama Dr. Combs.
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.