Breaking News
recent

NICKI MINAJ SASA AONESHA NIA YA KUTAKA KUOLEWA

Msanii Nicki Minaj muda mingi alikuwa akihangaika kwa wapenzi mbalimbali na sasa ameonyesha nia ya kutaka kuolewa..

Leo walionekana wakila raha na Safaree samuels maeneo ya Cabo san lucas, Nicki minaj alikaririwa akisema kuwa sasa ana nia kabisa ya kuolewa.
 

Mwanamuziki huyu mwenye vichekesho kila kukicha, amesema sasa wamekaa chini kuzungumzia kuhusu mahusiano yao. Kuna kipindi waligombana lakini kwa sasa wameweka mambo sawa....
 
 
 
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.