Breaking News
recent

MMILIKI WA MANCHESTER UNITED AFARIKI DUNIA....

GLAZER
 Mmiliki wa Manchester United, Malcolm Glazer amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85.

Glazer aliinunua Man United katika hali iliyosababisha malumbano makubwa mwaka 2005, hadi mashabiki wakawa wanaingia uwanjani na mabango kumpinga.
Hata hivyo Mmarekani huyo aliyemwaga pauni milioni 500 hakuwa akishiriki sana shughuli za klabu hiyo kutokana na umri wake.
Wanaye Joel  na Avram  ndiyo walikuwa wakifanya kazi nyingi za klabu hiyo wanayoimiliki.
                                            SOMA ZAIDI....
WATOTO WA MAREHEMU (WENYE TAI NYEKUNDU), KEVIN, AVRAM NA JOEL


Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.