Leo hii reporter kutoka
hollywood amethibitisha kuwa picha ya harusi ya Kanye na Kim wakiwa wana-kiss
mbele ua ukuta uliojaa maua meupe katika harusi yao ni picha ambayo imependwa
sana na watu duniani kote.
Picha hiyo imepata LIKES
milioni 1.9 ndani ya siku tatu tangu ilipotupiwa Instagram May 27, na kuizidi
picha ya
Justin Bieber's akiwa na
Selena Gomez ambayo ilipata LIKES milioni 1.8 kwa miezi 5 tangu
walipoituma
No comments:
Post a Comment