Breaking News
recent

MUME WA FLORA MBASHA AMEMBAKA SHEMEJI YAKE MWENYE UMRI WA MIAKA 17


Dar es Salaam.Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, anatuhumiwa kumbaka shemeji yake mdogo (17).
Taarifa za tukio hilo ziliripotiwa juzi saa 12 jioni katika Kituo cha Polisi Tabata (Tabata Shule), zikimtuhumu mwanamume huyo kwamba alimbaka binti huyo mara tatu na kumsababishia maumivu makali.
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.