Kim Kardashian na Kanye West wapepanga kufunga ndoa Forte di Belvedere in Florence, Italy. Kwa maelezo ya kijana 1, alisema Kanye na Kim walikuwa wakionekana sana maeneo ya town walikutana na Ermanno Scervino kwenye Italian
designer’s atelier. Inasemekana moja au zote za nguo zao zitavaliwa
siku ya harusi yao. Vyombo vya habari vya Italia wamesema
Kardashian-West wedding itafanyika Belevedere na wana ndoa hao
inasemekana wametumia zaidi ya 300,000 euros kununua vitu vyote weekend
ijao tarehe 24.
Unknown
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment