Breaking News
recent

PICHA: MWANAMITINDO HUYU AMEANZA KUFAHAMIKA KAMA MPENZI WA JUSTIN BIEBER



Aliyekuwa mpenzi wa msanii na mwigizaji Selena Gomez, Justin Bieber ameonekana kuwa karibu na binti mwingine aliyefahamika kama Yovanna Ventura ambaye ni mwanamitindo mwenye miaka 18 kutoka Spain.

Jb ameonekana naye Las Vegas alipokuwa kwenye pambano la Floyd Mayweather na baada ya hapo walielekea California.



Pia Jb na binti huyu walionekana kwenye beach maarufu ya Venice.

Hizi picha zao na za binti huyu.


Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.