Breaking News
recent

DIAMOND AONGOZA KURA ZA BET KWENYE KUNDI LA WASANII WA AFRIKA, MPIGIE KURA DIAMOND CHINI KABISA


Msanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' kwa sasa anakimbiza katika mchakato wa upigaji kura katika Tuzo za BET 2014 ambapo mpaka saa 10:55 leo jioni alikuwa anaongoza katika kundi lake akiwa na asilimia 75.79 ya kura zote akifuatiwa na Mafikizolo wenye kura asilimia 8.34. na wengine kama jedwali linavyoonesha hapo juu. Tuzo hizo zitatolewa Juni 29 mwaka huu jijini Los Angeles, Marekani.
 KUMPIGIA KURA DIAMOND , BONYEZA HAPA
Kisha telemka chini hadi utapokuta "BEST INTERNATIONAL ACT: AFRICA" bofya tundu lenye jina lake kisha bofya "VOTE"... kitu na boxi! vote for diamond  http://v1019.cbslocal.com/2014/05/14/jay-z-and-beyonce-make-headlines-again/#pd_a_8047572 
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.