Breaking News
recent

BREAKING NEWS: JAMAA ALA SHABA ZA MGUU BAADA YA KUTOA MSAADA MAMA ALIYEKUWA AKITOKA BENKI KUPORWA MKOBA WA HELA


Kijana apigwa bastora za mguu baada ya kutoa msaada kwa mtu aliyevamiwa

Hii imetokea lisaa limoja lililopita, majambazi walimvamia mama 1 aliyekuwa anatoka benki, wakanyakua mkoba aliokuwa ameweka hela, kijana 1 voluuntia akaamua kuwakimbiza, majambazi walivyoona wanakaribia kukamatwa wakaamua kumpiga risasi 3 za mguu kijana huyo hapohapo akadondoka chini, hapo yalikuwa maeneo ya tabata mawenzi, ila ni mzima na amekimbizwa hospital...
Kwa habari zaidi endelea kufatilia blog yako hii bomba..
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.